Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam
BENKI ya Exim inawaambia wateja wake kwa ujumla kuwa mwaka huu
mpya wa 2025 sio mwaka wa kuforce bali ni mwaka wa kwenda kimkakati.
Moja ya mkakati wao muhimu na mkubwa ni wateja wake kuokoa
muda badala ya kwenda benki kama hawahitaji huduma kubwa, wametakiwa
kumaliza mahitaji yao ya benki kwa
Mawakala wao waliopo karibu yao.
Kwa mawasiliano zaidi ya kujua huduma za benki hiyo piga: 0800 780 111
No comments:
Post a Comment