..........................................
Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam
WASHINDI wa mwezi Vacation na Mastabata wakiwa na watu waliowachagua tayari kwa safari ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliyopo Mkoa wa Morogoro kwa ajili ya mapumziko huku kila kitu kikiwa kimelipiwa na benki hiyo sanjari na fedha za matumizi (pocket money juu)
Matumizi yako ya NMB Mastercard kwa malipo ya kuchanja au kupitia QR Lipa kwa Link yatakuweka kushinda trip kama hizi na zawadi nyingine kibao!
No comments:
Post a Comment