.......................................
Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam
WATEJA 700 kati ya 2000 wa promosheni ya Benki ya NMB MastaBata La Kibabe wameshinda Sh. Mil. 76.4 kati ya Milioni. 300 zinazoshindaniwa.
Kampeni hiyo ina lenga kuhamasisha malipo kwa kadi za NMB MastaCard kupitia QR Code, PoS, na NMB Pay by Link. Droo ya mwisho itafanyika Februari 12, 2025 jijini Dar es Salaam
Droo ya promosheni ya NMB MastaBata – La Kibabe ikichezwa kupata washindi.
No comments:
Post a Comment