Rafiki Mpendwa,
Unatamani kuwekeza lakini hujui pa kuanzia? Unasikia watu wakiongelea kuhusu soko la hisa, hatifungani, na vipande vya uwekezaji, lakini bado limebaki kuwa fumbo kwako? Kama umewahi kujiuliza maswali haya, basi kuna habari njema sana kwa ajili yako!
Kitabu hiki maalum kinaitwa: UWEKEZAJI KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE.
Kimeandikwa kwa Kiswahili fasaha na kwa lugha rahisi kueleweka, hata kwa mtu ambaye hajawahi kusikia kuhusu masoko ya fedha.
Ndani ya kitabu hiki utajifunza:
Maana ya hisa, hatifungani na vipande ni nini
Jinsi ya kuanza kuwekeza kwa mtaji mdogo
Hatari zilizopo na namna ya kuzidhibiti
Faida za muda mrefu za uwekezaji
Namna ya kufungua akaunti na kuanza hatua kwa hatua
Na mengine mengi muhimu kwa mafanikio yako ya kifedha!
Kitabu kinapatikana kwa njia tatu:
Softcopy (PDF) – TZS 12,000
Hardcopy (chapisho la karatasi) – TZS 30,000
Audiobook (unakisikiliza popote ulipo) – TZS 12,000
JINSI YA KULIPA:
Tuma malipo kupitia 0684408755: GODIUS RWEYONGEZA
Usikubali ujinga wa kifedha uendelee kutawala maisha yako.
Wekeza kwenye maarifa, halafu anza kuwekeza kwenye mali. Kitabu hiki kinaweza kuwa mwanga wa mabadiliko katika maisha yako ya kifedha.
Usisubiri hadi uwe na milioni moja ndipo uanze – anza sasa na kile ulichonacho!
JIJENGE KIUCHUMI – ANZA NA KITABU HIKI LEO!
No comments:
Post a Comment