Muonekano wa majengo ya Benki Kuu ya Tanzania.
.......................................
Benki Kuu ya Tanzania katika Dar es Salaam
BENKI Kuu ya Tanzania ni benki ya kitaifa inayosimamia masuala ya kibenki
na kifedha nchini Tanzania. Makao yake makuu yako Dar es Salaam.
Kati ya majukumu yake ni utoaji wa fedha za Tanzania, Shilingi ya Tanzania.
Benki Kuu ya Tanzania iliundwa na Sheria ya Benki ya Tanzania 1965.
Mwaka 1995, baada ya kuonekana kuwa benki hii ina majukumu mengi kuzidi
uwezo wake, Sheria ya Benki ya Tanzania 1995 ilipitishwa na kuipa benki hii
jukumu moja ambalo ni kusimamia sera ya fedha nchini.
Benki hii huongozwa na Bodi ya Wakurugenzi yenye wajumbe kumi
No comments:
Post a Comment