UNASIKU TATU KUJIWEKEA KESHO YAKO BORA KUPITIA SAMIA INFRASTRUCTURE - UMOJA BANKING BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 14 January 2025

UNASIKU TATU KUJIWEKEA KESHO YAKO BORA KUPITIA SAMIA INFRASTRUCTURE


 Benki ya CRDB inakuhimiza uwahi  Samia Infrastructure Bond kabla ya Januari 17, 2025.

Kianzio ni Sh. 500,000/= na kuendelea, Riba 12% kwa mwaka, Gawio mara 4 kwa mwaka, Hakuna makato ya kodi na kuwa itadumu kwa kipindi cha miaka 5 (Utarudishiwa uwekezaji wako)/

Benki hiyo inakuambia wekeza sasa kirahisi kupitia SimBanking App  au tembelea tawi la Benki ya CRDB la karibu nawe kwa maelezo zaidi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages