...........................................
Na Dotto Mwaibale,
Dar es Salaam
Zoezi la kutafuta
washindi wanaotumia Kadi zao za NMB Mastercard au QR Lipa kwa link kufanya
malipo mbalimbali linaendelea ambapo limewapata washindi kadhaa.
Washindi waliopatikana
ni Washindi 100 walioondoka na Vibunda
vya Sh. 100,000 kila mmoja na Washindi
15 walioshinda Sh. 500,000.
Washindi wengine ni
watano waliopata ada na washindi wengine
watano wanaoenda kula bata Ngorongoro
wakiwa na watu watakaochagua.
Endelea kutumia kadi yako ya NMB Mastercard kwa malipo ya kuchanja au kupitia QR Lipa kwa Link, na uingie kwenye nafasi ya kushinda zawadi za kibabe kama pesa taslimu, shopping, safari za mbugani, na mwisho wa msimu ni safari ya kwenda Dubai na umpendaye kwenda kula bata la nguvu.
No comments:
Post a Comment