Jinsi mwaka mpya wa 2025 ulivyopokelewa na wateja wa Benki ya NMB na wafanyakazi wa benki hiyo.
............................................
Na Dotto Mwaibale, Dar es
Salaam
WATEJA Nafsi zao ziliburudika na malipo yote
yalikamilishwa na NMB mastercard kwa urahisi na uharaka, huku wateja wa benki
hiyo wakiingia kwenye droo ya Mastabata kushinda zawadi za wiki, mwezi na
safari ya Dubai mwisho wa msimu wa kampeni yao kabambe ya Mastabata La Kibabe.
Malipo yakifanyika kwa NMB mastercard
Malipo yakiendeleakufanyika kwa NMB mastercard
Ndivyo hali ilivyokuwa Warehouse NMB
Muonekano wa mandhari wakati wa kusherehekea mwaka mpya wa 2025.
Burudani zikiendelea.
No comments:
Post a Comment