Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam
KATIKA kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka zinapoishia ukingoni
Benki ya Azania imekuja na suluhisho la kuwarahisishia wazazi wanaorudi
makazini na wanafunzi wanaorudi mashuleni kupata tiketi popote pale walipo
inachotakiwa ni kwa msafiri kuomba tiketi hiyo kupitia Google Play/ App Store
ya benki hiyo na kuipakua.
No comments:
Post a Comment