.....................................
Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam
BENKI ya NMB imezindua huduma ya
Worldwide Pesa inayorahisisha kutuma pesa katika nchi za Afrika Mashariki na
SADC, na kupokea pesa kutoka popote duniani, kupitia huduma ya NMB Mkononi, kwa
kushirikiana na MasterCard, Thunes, TerraPay, na Nala bila usumbufu wa nyaraka
nyingi.
No comments:
Post a Comment