BENKI YA NMB YATENGA ZAIDI YA BILIONI 2 KWA AJILI YA UTOAJI WA MISAADA - UMOJA BANKING BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 18 November 2024

BENKI YA NMB YATENGA ZAIDI YA BILIONI 2 KWA AJILI YA UTOAJI WA MISAADA




 

Benki ya NMB imetenga zaidi ya Sh. Bilioni 2 kwa ajili ya utoaji wa misaada mbalimbali kwa jamii katika sekta ya elimu afya na kusaidia walengwa wanaoathiriwa na maafa mbalimbali pindi yanapojitokeza kwa hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages