Picha ya pamoja wakati wa uzinduzi huo.
..............................
Na Mwandishi Wetu
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ilishiriki
katika uzinduzi wa mpango wa uwekezaji wa pamoja wa kampuni ya iTrust Finance
Limited, ambapo pia ilitangazwa kama Benki rasmi ya Hifadhi kwa mfuko wa
uwekezaji wa itrust finance .
Wakati wa hafla hii, Meneja wa Uwekezaji kutoka Benki ya NBC alisisitiza nia yao na kuhakikisha usalama na faida wa mtaji uliowekezwa.
Aidha, alitaja malengo ya kujenga msingi thabiti wa kuimarisha
soko la mitaji nchini Tanzania.
Meneja wa Uwekezaji kutoka Benki ya NBC, akizungumza.
Washiriki wakiwa kwenye uzinduzi huo
Maelezo yakitolewa wakati wa uzinduzi huo
Uzinduzi ukifanyika
Uzinduzi ukifanyika
Taswira ya uzinduzi huo
No comments:
Post a Comment