Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB, Bw. Abdulmajid Nsekela (katikati) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania alitembelea banda letu la CRDB kwenye Maadhimisho Ushirikia Duniani 2024,SUD. Tukiwa kama wadau wakubwa wa Ushirika tunaunga mkono kauli mbiu ya mwaka huu “Ushirika hujenga kesho iliyo bora kwa wote”
#CrdbBank
#tunakusikiliza
No comments:
Post a Comment