Mkuu wa Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB, Yolanda Uriyo (wa pili
kushoto) akipokea Tuzo ya Ubora wa Huduma ya mwaka kutoka kwa Michael Harris,
Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya Utafiti wa Ubora ya Ulaya (ESQR). Wanaotazama
ni Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Tanzania Brussels, Vivian Rutaihwa (wa kwanza
kulia), na Meneja Mwandamizi wa Uhakiki wa Ubora wa Huduma wa Benki hiyo,
Mshindo Magimba.
......................
Na Mwandishi Wetu
Brussels, 30 Julai, 2024 - Benki ya CRDB 2 imetunukiwa Tuzo ya Ubora wa Huduma kwa mwaka 2024 na Jumuiya ya Ulaya 3 ya Utafiti wa Ubora (ESQR) katika hafla ya utoaji wa tuzo iliyofanyika 4 katika hoteli ya Le Plaza katika jiji la Brussels, Ubelgiji.
Tuzo 5 hiyo ilitolewa kwa kutambua jitihada za Benki hiyo katika kuboresha 6 usimamizi wa ubora katika huduma zake zote. Tuzo ambazo zinafanyika kila 7 mwaka zinatambua taasisi na mashirika ambayo yamewekeza katika huduma 8 ubora kwa wateja katika sekta mbalimbali, ikiwamo sekta ya fedha kote 9 ulimwenguni.
Benki ya CRDB imekuwa ikiwekeza kwa kiasi kikubwa 10 katika mifumo ya utoaji huduma bora inayojumuisha teknolojia za kisasa 11 ili kutoa uzoefu bora katika kila hatua ya safari ya mteja. Ushindi wa 12 tuzo hii, unathibitisha namna gani Benki ya CRDB imekuwa mshirika mzuri 13 kwa wateja na wadau wake, ikichangizwa na wafanyakazi wenye weledi 14 mkubwa ambao wamekuwa wakiwapa wateja suluhisho bora na zinazoendana na 15 mahitaji yao halisi.
Akizungumzia wakati wa hafala ya kupokea 16 tuzo hiyo Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja, Yolanda Uriyo, alisema, 17 "Mtazamo wetu kubuni njia bora za kuwahudumia wateja umekuwa ndio 18 msingi wa mafanikio yetu ya katika nyanja ya huduma kwa wateja na 19 usimamizi wa ubora. Tuzo hii ni ushahidi wa bidii ya timu yetu katika 20 kutoa huduma bora kwa wateja wetu.”
Aliongeza kuwa tuzo hiyo 21 inaakisi maono ya kimkakati ya Benki ya CRDB chini ya mkakati wake mpya 22 wa muda wa kati, 'Evolve,' unaojumuisha mipango mbalimbali ya huduma kwa 23 wateja inayolenga kuboresha utoaji wa huduma. Mipango hii imeimarisha 24 nafasi ya Benki ya CRDB katika soko huku ikiimarisha uhusiano na wateja 25 na ufanisi wa kiutendaji.
Aliongeza kuwa tuzo hiyo
21 inaakisi maono ya kimkakati ya Benki ya CRDB chini ya mkakati wake mpya 22
wa muda wa kati, 'Evolve,' unaojumuisha mipango mbalimbali ya huduma kwa 23
wateja inayolenga kuboresha utoaji wa huduma. Mipango hii imeimarisha 24 nafasi
ya Benki ya CRDB katika soko huku ikiimarisha uhusiano na wateja 25 na ufanisi
wa kiutendaji.
Akizungumza kuhusu tuzo
hiyo, 26 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, alisema 27
kutambuliwa na ESQR ni hatua muhimu inayosisitiza dhamira ya Benki 28 katika
ubora na umahiri katika shughuli zake zote. "Juhudi za timu yetu 29 katika
uvumbuzi na mbinu zinazomjali mteja zinaendelea kututofautisha 30 katika sekta
ya benki. Tunaendelea kujidhatiti katika kuinua viwango 31 vyetu vya huduma na
kutoa thamani endelevu kwa wateja na wadau wetu," 32 aliongeza.
Mbinu bunifu zilizochangia tuzo hiyo ni pamoja na 33 utekelezaji wa mifumo ya
kidijitali ya maoni ya wateja kama vile 34 misimbomilia (QR Code) na mfumo wa
jumbe fupi (SMS), zilizopelekea 35 kuwapa wateja njia rahisi za kutoa maoni na
kuwezesha benki 36 kushughulikia kwa haraka. Zaidi ya hayo, Benki hiyo imekuwa
ikifanya 37 tathmini za mara kwa mara za ubora wa huduma na utoaji wa bidhaa,
Post settings Labels No matching suggestions Published on 7/3/24 3:54 PM Links
Location Options.
No comments:
Post a Comment