,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Na Mwandishi Wetu
UONGOZI wa Benki ya AZANIA kupitia kitengo chake cha masoko unapenda
kuwakaribisha wanananchi na wadau mbalimbali kutembelea katika Tawi lao lililopo ndani ya Viwanja vya Sabasaba
kwa ajili ya kupata huduma zote za kibenki ambazo zitapatikana msimu wote wa
Maonesho ya 48 ya Biashara - SabaSaba 2024 yanayofanyika Barabara ya Kilwa
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment