Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akieleza nia njema
ya Serikali katika kuhakikisha kunakuwa na mazingira bora ya ufanyaji biashara
nchini, wakati wa kikao kati ya Viongozi wa Wafanyabiashara Tanzania, Viongozi
wa Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo na Taasisi zinazosimamia masuala ya
wafanyabiashara, jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Jenista Mhagama.
.............................
Na Mwandishi Wetu -WF
SERIKALI imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD) na
ritani za kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya
Mapato Tanzania kupitia mkoa wa kikodi wa Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, wakati ukiandaliwa utaratibu mzuri
wa utekelezaji wa suala hilo katika Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo.
Hayo yamesemwa kwa niaba ya Serikali, jijini Dodoma, na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, wakati akitoa
maazimio ya kikao kati ya Viongozi wa Wafanyabiashara Tanzania, Viongozi wa
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo na Taasisi zinazosimamia masuala ya
wafanyabiashara, kikao ambacho kiliitishwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na kuhudhiriwa pia na Waziri wa Viwanda na
Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji na viongozi wengine waandamizi wa Serikali.
wa Nchi Ofisi ya Rais,
Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (katikati), akitoa maazimio ya
kikao kati ya Viongozi wa Wafanyabiashara Tanzania, Viongozi wa Wafanyabiashara
wa Soko Kuu la Kariakoo na Taasisi zinazosimamia masuala ya wafanyabiashara,
kikao ambacho kiliitishwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba
(Mb) (hayupo pichani), kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.
Ashatu Kijaji (Mb), na kulia ni Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Soko la
Kariakoo, Bw. Martin Mbwana.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akieleza namna
Serikali ilivyo sikivu na inaendelea kutatua kero za wafanyabiashara nchini,
wakati wa kikao kati ya Viongozi wa Wafanyabiashara Tanzania, Viongozi wa
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo na Taasisi zinazosimamia masuala ya wafanyabiashara,
kikao ambacho kiliitishwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba
(Mb) (hayupo pichani), jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,
Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Felesh, akieleza umuhimu wa
wafanyabiashara nchini na namba ambavyo inashughulikia na kurekebisha sheria
mbalimbali za masuala ya kodi, wakati wa kikao kati ya Viongozi wa
Wafanyabiashara Tanzania, Viongozi wa Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo
na Taasisi zinazosimamia masuala ya wafanyabiashara, kikao ambacho kiliitishwa
na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani),
jijini Dodoma.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Alphayo Kidata,
akieleza kuhusu kusitisha kwa zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD)
na ritani za Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka
ya Mapato Tanzania kupitia mkoa wa kikodi wa Kariakoo, Jijini Dar es Salaam,
wakati wa kikao kati ya Viongozi wa Wafanyabiashara Tanzania, Viongozi wa
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo na Taasisi zinazosimamia masuala ya
wafanyabiashara, kikao ambacho kiliitishwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Bw. Martin Mbwana,
akieleza changamaoto mbaoimbali za wafanyabiashara wa Soko hilo ikiwemo ya
zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD) na ritani za kodi (VAT),
iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kupitia mkoa wa kikodi wa
Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, ambalo Serikali imelisitisha, wakati wa
mazungumzo kati ya Wafanyabiashara na Serikali, jijini Dodoma.
Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Taifa, Bw. Hamisi Livembe, akiipongeza
Serikali kwa uamuzi wa kusitisha kwa zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki
(EFD) na ritani za kodi (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato
Tanzania kupitia mkoa wa kikodi wa Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, wakati wa
kikao kati ya Viongozi wa Wafanyabiashara Tanzania, Viongozi wa Wafanyabiashara
wa Soko Kuu la Kariakoo na Taasisi zinazosimamia masuala ya wafanyabiashara,
kikao ambacho kiliitishwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba
(Mb) (hayupo pichani), jijini Dodoma.Makamu wa rais wa Jumuiya ya
Wafanyabiashara, Bw. Boniface Ndengo, akiipongeza Serikali kwa uamuzi wa
kukutana na viongozi wa wafanyabiashara ili kutatua changamoto za wafanyabiashara
nchini, wakati wa kikao kati ya Viongozi wa Wafanyabiashara Tanzania, Viongozi
wa Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo na Taasisi zinazosimamia masuala ya
wafanyabiashara, kikao ambacho kiliitishwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (wa pili kushoto)
na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), wakizungumza na
Viongozi wa wafanyabiashara baada ya kumalizika kwa kikao kati yao jijini
Dodoma, ambapo Serikali imeridhia kusitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za
Kielekroniki (EFD) na ritani za kodi (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA), kupitia mkoa wa kikodi wa Kariakoo, Jijini Dar es Salaam,
wakati ukiandaliwa utaratibu mzuri wa utekelezaji wa suala hilo katika Soko Kuu
la Kimataifa la Kariakoo.


Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akieleza
jitihada za Serikali katika kutatua changamoto za Wafanyabiashara wakati wa
kikao na viongozi wa wafanyabiashara wa Kariakoo, jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment