MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HARAMBEE UJENZI WA JENGO LA KIUCHUMI CCM PWANI - UMOJA BANKING BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, 30 June 2024

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HARAMBEE UJENZI WA JENGO LA KIUCHUMI CCM PWANI

  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani ameongoza Hafla ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika Hyatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam. Juni 29, 2024.








 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages