Mkuu wa Idara ya Njia Mbadala za Kidijitali wa Exim
Bank Silas Matoi (katikati), akitangaza washindi 10 wa droo ya kwanza ya Kampeni ya Tap Tap Utoboe
yenye lengo la kuwahamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala yao kutumia
simu za mkononi na mtandao kufanya miamala ya malipo. Kampeni hii ya miezi
mitatu inatoa washindi wa kila wiki na mwezi ambao wanajishindia fedha taslimu
na mwishoni kutakuwa na washindi wa pikipiki, bajaji na mshindi wa kwanza
atajinyakulia gari mpya. Kushoto ni Mkaguzi na Mdhibiti wa michezo ya
kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Salim Bugufi na
Thuweiba Bakary, Afisa wa benki hiyo wakiwa
katika droo hiyo iliyofanyika tarehe 19 Juni, 2024 katika Makao Makuu ya
Exim Bank jijini Dar es Salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Blog hii ni kwa ajili ya kuripoti habari za Benki, Biashara, Fedha, Uchumi, Uwekezaji na soko la hisa sanjari na kuandaa makala za kuelimisha jamii masuala mbalimbali yanayohusu fedha. Tunafanya kazi masaa 24.
No comments:
Post a Comment