RAIS SAMIA ALIVYOTUNUKIWA TUZO MAALUM NA BUNGE - UMOJA BANKING BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, 31 May 2025

RAIS SAMIA ALIVYOTUNUKIWA TUZO MAALUM NA BUNGE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma Mei 31, 2025. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 31, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika hafla hiyo.


Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna akiwa kwenye hafla hiyo.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa kwenye hafla hiyo. 

Hafla ikiendelea.
Wabunge wakiwa kwenye hafla hiyo.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo. 
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akiwa kwenye hafla hiyo.

Viongozi mbalimbali na Wakuu wa taasisi za fedha wakiwa kwenye hafla hiyo.



 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages