Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), kando ya Mkutano Mkuu wa mwaka 2025 ambao utakuwa wa 60 wa Bodi ya Magavana wa ADB na wa 51 kwa ADF, unaonza leo tarehe 26 hadi 30 Mei 2025 katika Hoteli ya Sofitel Ivoire, Abidjan, Côte d’Ivoire, na utajumuisha uchaguzi wa Rais na Wakurugenzi Watendaji wa Taasisi hiyo baada ya Rais wake wa sasa, Dkt. Akwinumi Adesina, kumaliza muda wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Blog hii ni kwa ajili ya kuripoti habari za Benki, Biashara, Fedha, Uchumi, Uwekezaji na soko la hisa sanjari na kuandaa makala za kuelimisha jamii masuala mbalimbali yanayohusu fedha. Tunafanya kazi masaa 24.
No comments:
Post a Comment