Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam
Ndugu Mteja wa Benki ya NBC unaambiwa usikubali kukosa jiko la Gesi na kuwa imebakia siku moja tu kampeni ya kujishia jiko hilo kufungwa.
Unachotakiwa kufanya ni kuendelea kufanya miamala kwa kutumia NBC VISA Debit Card unapolipia bidhaa au huduma mtandaoni, unapotoa pesa kwenye ATM au kulipa kwenye POS Machine yoyote.
No comments:
Post a Comment