............................................
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Maamuzi ya serikali ya kuimarisha mifumo ya ukusanyaji kodi nchini yameanza
kuleta mafanikio baada ya kuongezeka kwa makusanyo ya kodi kutoka wastani wa
shilingi milioni 850 kwa mwezi mwaka 2015 hadi bilioni 2 kwa mwezi mwaka
2022/23.
Aidha kwa takwimu ya makusanyo ya kodi kwa mwezi uliopita (septemba
2024)Nchi imeweza kukusanya zaidi ya Sh. Trilioni 3
Hatua ambazo serikali imezichukua ni pamoja na kuimarisha mazingira ya
kufanya biashara nchini,kufuta baadhi ya tozo, kuimarisha utendaji kwenye idara
za serikali,wakala na taasisi mbalimbali za serikali.
No comments:
Post a Comment