Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
JULAI 10, 2024 Wafanyakazi wa benki ya NBC wakiwakilishwa na Ndg. Peter Msaki (wa kwanza kushoto) pamoja na Ndg. Frankline Moshingi (wa kwanza kulia), Mameneja Mahusiano sekta ya Umma na Taasisi, wametembelea ofisi za Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kukutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji Mhe. Jomaary Saruta.
Kikao na Mkurugenzi huyo kikiendelea.
Lengo la ziara hiyo ni kukuza mahusiano na ushirikiano wa kibiashara baina ya taasisi hizo mbili.
#NBCDaimaKaribuNawe
No comments:
Post a Comment