RAIS SAMIA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA ULAYA - UMOJA BANKING BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, 7 July 2024

RAIS SAMIA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA ULAYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) Bw. Thomas Ã–stros, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) Bw. Thomas Östros, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) Bw. Thomas Östros pamoja na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages