Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania - TIB, Bi. Lilian Mbassy, ametembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam, ambapo amezipongeza Idara, Vitengo na Taasisi za Wizara ya Fedha kwa kutoa elimu kwa umma kuhusu sera za uchumi na fedha, program, huduma, uwekezaji, benki na masuala mengine kwa umahiri.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania - TIB, Bi. Lilian Mbassy, (katikati), akitembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam, ambapo amezipongeza Idara, Vitengo na Taasisi za Wizara ya Fedha kwa kutoa elimu kwa umma kwa umahiri.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania - TIB, Bi. Lilian Mbassy, (kulia), akipata Meneja wa Biashara na Uhamasishaji wa Mfuko wa SELF kuhusu Mfuko huo kuwekeza kwa kuwafikia wateja wengi zaidi hususani wa kipato cha chini, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania - TIB, Bi. Lilian Mbassy, (kushoto), akipokea chapisho kutoka Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA), alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment