Wafanyakazi wa Benki ya NBC (pichani) wameshiriki katika mbio za Msoga Marathon zikiwa na lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kuboresha afya ya mama na mtoto.
Wafanyakazi hao wametumia mbio hizo kupasha misuli kwa ajili ya maandalizi ya NBC Dodoma Marathon itakayofanyika Julai 28, 2024.
No comments:
Post a Comment