......................................................
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na
Ujumbe wa Benki ya NMB Bank Plc, ukiongozwa na Mkurugenzi wake Mtendaji, Bi.
Ruth Zaipuna, Ofisini kwake-Treasury Square, Dodoma, ambapo alijadiliana masuala mbalimbali yanayohusu ubia kati ya Serikali na Benki hiyo na namna bora
ya kuwasaidia wananchi katika masuala ya kifedha.
Wajumbe wengine kutoka NMB ni pamoja na Afisa Mkuu wa Fedha, Bw. Juma Kimori, Mkuu wa Biashara za Serikali Bi. Vicky Bishubo, Meneja Uhusiano Mwandamizi Bi. Josephine Kulwa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akiendesha kikao hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna (kushoto) akisisitiza jambo kwenye kikao hicho.
Kikao kikiendelea.
Picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (katikati)
No comments:
Post a Comment