Benki ya Exim imeingia mkataba wa miaka mitatu na Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI) kwa lengo la kukuza na kuinua Sekta ya Utalii Zanzibar. Mkataba huo ulisainiwa na Mkuu wa Kitengo cha Fedha kutoka benki ya Exim, Shani Kinswaga pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI), Suleiman Ally, ukishuhudiwa na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Mhe. Mudrick Soraga.
Blog hii ni kwa ajili ya kuripoti habari za Benki, Biashara, Fedha, Uchumi, Uwekezaji na soko la hisa sanjari na kuandaa makala za kuelimisha jamii masuala mbalimbali yanayohusu fedha. Tunafanya kazi masaa 24.
No comments:
Post a Comment