.
..................................
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
BENKI ya NBC imeingia makubaliano ya kiutendaji na Serengeti Breweries ili kuhakikisha washiriki wa NBC Dodoma Marathon 2024 wanapata huduma bora na za kipekee. Kupitia kinywaji chao maarufu cha Captain Morgan, Serengeti Breweries watakuwa wadhamini wenza wa mbio hizi, wakitoa msaada mkubwa katika eneo la burudani.
Makubaliano haya yamefanyika hivi punde katika hafla maalum iliyofanyika Makao Makuu ya NBC, ikihudhuriwa na viongozi na wawakilishi wa pande zote mbili.
#NBCDodomaMarathon2024 #KataWeseOkoaMaisha
No comments:
Post a Comment