Bi. Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu NMB |
THEHABARICOM inatoa pongezi kubwa kwa Afisa
Mtendaji Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna kwa
kutimiza miaka mitano kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB.
Umekuwa muhimili Mkubwa kwenye sekta ya Benki nchini kupitia
uwekezaji kwa watu, mageuzi ya kidijitali, utawala bora, miradi ya kijamii na
kuongeza thamani ya benki sokoni.
Kila la Heri unapoanza safari nyingine ya mafanikio ndani ya
Benki ya NMB.
No comments:
Post a Comment